KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS:MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MAFUNZO YA UOFISA NA UKAGUZI MSAIDIZI WA CHUO CHA POLISI DAR LEO
Askari hao wakionyesha jinsi ya kubana pumzi wakati wa kujihami na adui.
Askari wakipita mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, na kutoa heshima, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo.
Askari wakipita mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, na kutoa heshima, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo.
Kikosi cha Singe kikipita mbele ya mgeni rasmi na kutoa heshima......
Askari wahitimu wakila kiapo......huku mvua ikinyesha pande hizo....
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi
Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, S/SGT Juma Sadiki Bahati,
wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo chuoni hapo
jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi
Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta John Makuri
Imori, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo chuoni
hapo jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi
Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta Alekunda John
Urio, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo chuoni
hapo jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi
Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta Leah Nicholaus
Ncheyeki, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo
chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na
Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Akama Mohamed
Shaaban, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo chuoni
hapo jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifunga rasmi mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi Msaidizi
wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, leo kwenye hafla hiyo iliyofanyika
katika Chuo hicho kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Maofisa wa Polisi, wakishuhudia burudani iliyokuwa ikirindima pande hizo...
Sehemu ya askari waliohudhuria hafla hiyo.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments: