Mbunge wa Arumeru Mashariki -Chadema Joshua Nassari muda mfupi baada ya kufikishwa hospitali ya seliani Arusha
Mbunge wa Arumeru Mashariki -Chadema Joshua Nassari akiwa hospitali ya seliani Arusha
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amepigwa na kujeruhiwa vibaya , amepigwa na vijana wa kisomali, katika eneo la Zaburi kata ya Makuyuni Jimbo la Monduli, Taarifa za awali zinasema baada ya Nassari kuondoka na gari jingine, waliokuwa wanafuatana naye walienda kujibanza sehemu.
No comments: