Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Wajisalimisha Polisi
MWENYEKITI
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)na Mbunge wa Hai, Freeman
Mbowe akitoka Polisi baada ya kuhojiwa jana, wa pili kulia ni Mbunge wa
musoma mjini-Chadema Vicent Nyerere
MWENYEKITI
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe(wa pili kulia)
akiongozana na Mbunge wa Arusha mjini-Chadema, Godbless Lema(wa kwanza kushoto) wakitoka Polisi
baada ya kuhojiwa jana katikati ni mbunge wa musoma mjini-Chadema Vicent Nyerere
No comments: