Wabunge na Viongozi Wakuu wa Chadema Washiriki Mazishi Ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kata ya Sokoni One, marehemu Judith William Moshi, aliyeuwawa kwa bomu kwenye mkutano wa kampeni za chama hicho, Jumamosi iliyopita, Juni 15, 2013
WABUNGE wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiongozwa na Grace Kiwelu (Viti Maalum) na
Godbless Lema (Arusha Mjini) wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Katibu wa
CHADEMA Kata ya Sokoni One, marehemu Judith William Moshi, aliyeuwawa kwa bomu kwenye
mkutano wa kampeni za chama hicho, Jumamosi iliyopita, Juni 15, 2013. Judith
alizikwa jana kwenye makaburi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT), Sokoni one, mjini Arusha jana
Jeneza lenye mwili
wa aliyekuwa Katibu wa
CHADEMA Kata ya Sokoni One, marehemu Judith William Moshi, aliyeuwawa
kwa bomu kwenye
mkutano wa kampeni za chama hicho, Jumamosi iliyopita, Juni 15, 2013
likiwa kanisani kwenye ibada muda mfupi kabla ya mazishi hapo jana.
Judith
alizikwa jana kwenye makaburi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania
(KKKT), Sokoni one, mjini Arusha jana
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho wakati wa
kuaga mwili wa Judith Moshi kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT), Usharika wa Sokon One, Arusha jana
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu wa
CHADEMA Kata ya Sokoni One, marehemu Judith William Moshi, aliyeuwawa kwa bomu kwenye
mkutano wa kampeni za chama hicho, Jumamosi iliyopita, Juni 15, 2013 likishushwa kaburini. Judith
alizikwa jana kwenye makaburi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT), Sokoni one, mjini Arusha.
Mbunge
wa Mbeye Mjini-Chadema Joseph Mbilinyi aka Sugu(kushoto)na Mwenyekiti
wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe wakiweka mchanga kwenye kaburi
la aliyekuwa Katibu wa
CHADEMA Kata ya Sokoni One, marehemu Judith William Moshi, aliyeuwawa kwa bomu kwenye
mkutano wa kampeni za chama hicho, Jumamosi iliyopita, Juni 15, 2013. Judith
alizikwa jana kwenye makaburi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT), Sokoni one, mjini Arusha jana
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wa

No comments: