Rais Barack Obama amewasili Senegal katika ziara yake ya wiki moja barani Afrika na anatarajia kuzuru Afrika Kusini na Tanzania akilenga kustawisha demokrasia na masuala ya uchumi. Hii ni ziara ya pili ya Obama barani Afrika tangu achaguliwe Rais mwaka 2008
Hi ni ziara ya pili ya Rais Obama Afrika
Hata hivyo ziara yake inatarajiwa kufifishwa na hali mbaya ya afya
inayomkabili aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela. Ikulu ya
white house imesema kuwa itategemea uamuzi wa familia ya Bwana Mandela
iwapo Rais Obama anaweza kumtembelea hospitalini.
Katika mkutano wake wa leo na rais wa nchi hiyo,
Mackey Sall, Rais Obama anatajiriwa kuipa heko Senegal kwa rekodi yake
nzuri ya uthabiti ikizingatiwa iko kwenya kanda yenya misukosuko ya
kisiasa.
Maafisa wa Marekani wanasema kuwa muhimu katika
ziara ya Obama ni kustawisha demokarsia na nchi zote tatu anazotembelea
ziko na demokasria thabiti
No comments: