Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Chambani
Mpigakura Khadija
Khamis Khatib (69) akitimiza haki yake ya kupiga kura kwenye kituo cha kupigia
skuli ya Ukutini kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Chambani
Wilaya ya Mkoani
Mpigakura Asha Salim
ambae ni mgonjwa akishuka kwenye gari kwa ajili ya kushiriki katika uchaguzi
mdogo wa Jimbo la Chambani
MGOMBEA
ubunge wa Jimbo la Chambani kwa tiketi ya CHADEMA Siti Ussi Shaibu
akizungumza na mwandishi wa habari wa ZENF FM Is-haka Mohamde Rubea
karibu na kituo cha kupigia kura cha skuli ya Ukutini kwa ajili ya
uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Chambani
Mwandishi
wa Habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali, Zanzibar Leo Ofisi ya
Pemba, Haji Nassor Mohammed akizungumza na Mgombea Ubunge wa jimbo la
Chambani Kupitia Tiketi ya CUF, Yussuf Salim Hussein, huko katika kituo
cha Ngwachani
KIJANA Seif Awesu Ali
(20) akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi baada ya kufikishwa hapo na
baadhi ya viongozi wa vyama wakidai kuwa ni kijana aliepandikizwa ambapo baadae
aliachia kwa vile hakuna na kitambulisho sahihi cha kupigia kura
Waandishi wa habari wakiwa kazini kumhoji mbunge mteule wa jimbo la CHAMBANI juzi usiku, huko mzingani
No comments: