Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa
Marekani Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Slaa muda mfupi kabla ya kiongozi
huyo wa taifa la Marekani kuondoka nchini baada ya kumaliza ziara ya
kikazi ya siku mbili.
Kutoka IKULU:Ona Jinsi Rais Jakaya Kikwete Alivyomtambulisha Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Slaa Kwa Rais wa Marekani Barack Obama
Reviewed by uhurutz
on
10:29
Rating: 5
No comments: