Kutoka IKULU:Rais Wa Marekani Barack Obama na Rais Kikwete Watembelea Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo Jijini Dar es Salaam
Rais
Barrack Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
wakizungumza na watendaji wa kuu wa sekta ya umeme nchini.Kushoto ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mr.Maswi,mkuu wa mkoa wa Dar
es Salaam Sadik Meck Sadik na watatu kushoto ni Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo wakati kiongozi huyo wa Marekani
alipotembelea mradi wa kuzalisha umeme unaofanywa na kampuni ya Symbion
power ya Marekani huko Ubungo jijini Dar es Salaam leo


Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwenyeji wake Rais Barrack Obama wa
Marekani wakipata maelezo juu ya kituo cha uzalishaji wa Umeme Ubungo
kinachoendeshwa na kampuni ya symbion power wakati viongozi hao
walipofanya ziara katika kituo hicho leo asubuhi.Watatu kushoto ni
Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Symbion Power


Tanzanian Shilling Converter
No comments: