Ads Top

MAMA MZAZI WA MWANAMUZIKI MASHUHURI NCHINI PROFESA J AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNGONGWA NA GARI HUKO MBEZI JUU, DAR ES SALAAM


  Bi Rosemary Majanjara Haule enzi za uhai wake.
 Profesa J akiwa na mama yake mzazi Bi Rosemary Majanjara Haule enzi za uhai wake.  Picha hii ilipigwa April 4, 2008 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam  wakati wa sherehe ya uzinduzi wa albamu mpya ya Profesa J ya 'Aluta Continua'

Mama Rosemary Majanjala ambaye ni mama mzazi wa Msani wa Muziki wa Kizaz kipya Joseph Haule maarufu PROF JAY aliyefarika jana usiku kwa ajali ya kugongwa na gari wakati akijaribu kuvuka barabara akitokea dukani majira ya saa 1 za usiku huko Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.