Ads Top

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Aung'uruma Songea

Sehemu ya Mamia ya wanafuasi wa chadema wakimshangilia mwenyekiti wa chadema na mbunge wa hai freeman mbowe alipokua akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya stendi ya malori iliyopo katika eneo la Majengo mjini Songea jana
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akiwahutubia Mamia ya wafuasi wa Chaema kwenye viwanja vya stendi ya malori iliyopo katika eneo la Majengo mjini Songea

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.