Ads Top

AJALI YA MOTO ILIOTOKEA JANA MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM




















 kikosi cha zima moto kikiwa katika harakati za kuzima moto

 huyu ni mwenye nyumba akionekana akiwa katika hali ya majonzi 

Ni ajali mbaya ya moto iliyo tokea Magomeni Dar es salaam chanzo cha moto huo kimetajwa ni kuwa hitilafu ya umeme ambayo imesababisha kuzuka kwa moto huo 

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.