Rais wa Marekani Barack Obama, amewasili katika ardhi ya Tanzania muda huu katika ratiba yake ya mwisho wa ziara barani Afrika
Rais wa Marekani Barack Obama akifurahia ngoma za utamaduni mara baada ya kutua nchini Tanzani katika jiji la Dar es salaam
Obama amewasili Tanzania baada ya ziara yake ya Afrika Kusini ambako rais mstaafu Nelson Mandela anaugua.
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete na familia yake
pamoja na maafisa wake wa serikali na wacheza densi za kitamaduni
walimkaribisha Obama na familia yake mjini Dar es Salaam.
Baadaye Rais Kikwete amemuongoza Rais Obama kuelekea Ikulu ya Tanzania kwa ajili ya shughuli zingine zilivyopangwa.
Tanzanian Shilling Converter
No comments: