KONGAMANO LA VIJANA NA RASILIMALI ZA TAIFA LAFANYIKA DAR
Mwenyekiti wa Kongamano la Vijana na
Rasilimali, lililofanyika leo RiverSide, Ubungo jijini Dar es Salaam,
Christopher Ngubiagai, akifungua mjadala kuhusu mada mbalimbali. Kushoto
ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo na watatu ni
mtoa mada, Wakili Evod Mmanda ambaye pia ni Mjumbe wa NEC wa CCM.
Ngubiagai pia ni Katibu wa CCM mkoa wa vyuo vya elimu ya Juu.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo akitoa mada kuhusu rasilimali ya madini, wakati kwenye
kongamano la vijana na rasilimali za taifa, leo Ubungo jijini Dar es
Salaam. Wapili kushoto ni Katibu wa CCM, Vyuo vya elimu ya Juu,
Christopher Ngubiagai ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa kongamano hilo na
watatu ni mwanasheria Evod Mmanda aliyetoa mada kuhusu rasimu ya
Katiba.
Wakili Mmanda akitoa mada kwenye kongamano hilo
Ngubiagai akizungumza kwenye kongamano hilo

Baadhi ya viongozi wa Vijana wa CCM kutoka mkoa wa vyuo vya elimu ya juu wakiwa kwenye kongamano hilo.

Baadhi ya wadau wakiwa kwenye kongamano hilo

Baadhi ya wadau wakifuatilia mada kwenye kongamano hilo
Wadau wakifuatilia hoja mbalimbali kwenye kongamano hilo

Baadhi ya wawakilishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakichukua matukio kwenye kongamano hilo

No comments: