Ads Top

KUTOKA JESHI LA POLISI TANZANIA:SOMA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KIDATO CHA NNE NA SITA 2013


Jeshi la Polisi Tanzania limetoa majina na ratiba ya usahili kwa vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2012 na waliomaliza kidato cha sita mwaka 2013 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya  kujiunga na Jeshi la Polisi.

Mikoa, vituo na tarehe za usaili zimeoneshwa kwenye jedwali hapa chini:
NA
MIKOA
KITUO CHA USAILI
TAREHE ZA USAILI
MUDA WA  USAILI
1
KILIMANJARO  NA TANGA
OFISI YA RPC TANGA
02-04 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
2
MANYARA NA ARUSHA
OFISI YA RPC ARUSHA
06-09 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
3
RUVUMA  NA NJOMBE
OFISI YA RPC BUNCOMBE
12-14 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
4
IRINGA NA MBEYA
OFISI YA RPC MBEYA
16-18 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
5
RUKWA NA KATAVI
OFISI YA RPC RUKWA
20-23 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
6
MTWARA NA LINDI
OFISI YA RPC MTWARA
26-28 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
7
KIGOMA
OFISI YA RPC KIGOMA
02-04 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
8
MWANZA NA MARA
OFISI YA RPC MARA
06-09 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
9
GEITA NA KAGERA
OFISI YA RPC  GEITA
12-14 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
10
SHINYANGA NA SIMIYU
OFISI YA RPC SHINYANGA
17-19 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
11
TABORA NA SINGIDA
OFISI YA OCD NZEGA
21-24 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
12
MOROGORO NA DODOMA
OFISI YA RPC DODOMA
26-28 /09/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
13
DSM NA PWANI
DSM  POLICE  ACADEMY
01-03 /10/2013
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
Muhimu:
Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha usaili kilicho karibu naye kulingana na tarehe zinavyoonesha kwenye jedwali hapo  juu ili mradi tu awe amejiridhisha kuwa ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili. Jeshi la Polisi halitahusika na lawama yoyote ile kwa mtu atakayekwenda kwenye kituo cha usaili hali ambapo jina lake si miongoni mwa walioitwa kufanya usaili.
Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili aje na vyeti vyake vyote vya masomo [(Academic Certificate(s)/Results slip(s) & Leaving certificate(s)], nakala halisi ya cheti cha kuzaliwa (Original Birth certificate). Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.
Mwombaji  awe na namba ya simu itakayotumika kumjulisha endapo atachaguliwa..
Kila mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atajigharamia usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa zoezi la usaili. Pia waombaji waje na kalamu za wino kwa ajili ya usaili wa kuandika.
Ni muhimu sana kwa kila mwombaji kuzingatia muda wa kuanza usaili.
Orodha hiyo ni kama ifuatavyo;
WALIOITWA KWENYE USAILI KIDATO CHA SITA 2013
WALIOITWA KWENYE USAILI KIDATO CHA NNE 2013

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.