MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ALIPOWASILI MKOANI TABORA KUHUDHURIA SWALA NA BARAZA LA IDDI KITAIFA

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa
Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo,jana jioni
kwa ajili ya kuhudhuria Swala
na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora kesho, katika Uwanja wa Ali
Hassan Mwinyi

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo,jana jioni kwa ajili ya
kuhudhuria Swala na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora kesho, katika
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, wakati wa
hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika Ikulu ndogo Mkoani Tabora jana
jioni.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki katika swala ya Magharibi na baadhi ya waumini wa dini ya
Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati wa hafla ya Futari ya pamoja
iliyofanyika ikulu ndogo Mkoani Tabora jana jioni.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya wakazi wa Mkoani Tabora baada ya kushiriki nao
katika hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika katika Ikulu ndogo jana
jioni. Katikati ni Mbunge Tabora Mjini, Ismail Aden Rage.
No comments: