Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Ahutubia Mkutano Mkuu wa Chama cha Conservative Denmark


Mwenyekiti
wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe
akihutubia mkutano mkuu wa chama cha Conservative Denmark tarehe
27.09.2013, jana alikutana na Mawaziri wawili mmoja ni wa mambo
ya nje na yule wa Biashara, alizungumzia mambo mbalimbali kama ukiukwaji
mkubwa wa haki za binadamu, kuminya kwa uhuru wa habari na mauaji ya
kisiasa yanayoendelea Tanzania akutana na wabunge wa Bunge la Denmark , ambao ni wajumbe wa kamati ya mambo ya nje ya Bunge hilo.Picha na Chadema
No comments: