Ads Top

Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Apewa Rasmi Uchifu(Chifu Ng’humbu Banhu)Bariadi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amekalia kigoda cha Uchifu wa Bariadi baada ya kuwa Chifu Ng’humbu Banhu mjini Bariadi Mkoa mpya wa Simiyu jana .Rais Kikwete yupo katika Ziara ya Kikazi Mkoa mpya wa Simiyu
Mmoja wa machifu wa Kisukuma eneo la Bariadi ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge akimvika vazi la kijadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kumpa uchifu Rais Kikwete iliyofanyika mjini Bariadi,Mkoa mpya wa Simiyu  jana .Rais Kikwete alipewa jina la kisukuma la Chifu Ng’humbu Banhu lenye maana ya Anayekumbuka na kuthamini Watu.Pichana na-IKULU

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.