Ads Top

SIMBA YAIAZIBU YANGA BILA HURUMA KATIKA MECHI YA NANI MTANI JEMBA

namna bao la simba lilivyo patikana katika kipindi cha kwanza 
Mmoja wa mashabiki wa timu ya Yanga akiwa amebebwa kwenye machela,kama aonekananyo pichani na Watoa huduma ya kwanza uwanjani hapo Reds Cross,mara baada kuzimia kufuatia timu yake ya ushabiki ya Yanga kufungwa goli 3-1 dhidi ya timu ya Simba.Yanga na Simba wamemenyana leo kwenye mchezo wao wa Nani Mtani Jembe, uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jioni ya leo.Mabao ya Simba yalifungwa na Hamis Tambwe mawili na Ramadhan Singano huku la kufutia machozi la Yanga likifungwa na Emmanuel Okwi.
Golikipa Machachari wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiruka juu kkudaka mpira uliokuwa unaelekea langoni kwake
Nahodha wa Simba, Haruna Shamte akinyanyua juu kombe baada ya kuifunga Yanga 3-1 katika mchezo wa Nani Mtani Jembe.





No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.