Ads Top

Chadema Wazindua Rasmi Kampeni Za Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar

 Mgombea wa Chadema Ndg. Hashim Issa Juma akiomba Kura kwa Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki. katika mkutano wake wa Kampeni.
 
 Mgombea Uwakilishi kupitia Chama cha Chadema Ndg. Hashim Issa Juma akijinadi kwa Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakati wa kampeni zake kuomba kura kwa Wananchi wa Jimbo hilo katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika viwanja vya kiembesamaki Zanzibar.
 Naibu Katibu Mkuu wa Chadame Zanzibar Hassan Mussa Yussuf, akitowa Sera za Chama chake katika mkutano wa kumnadi Mgombea wao kuwania Jimbo la Kiembesamaki, katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya kiembesamaki Zanzibar.
 Mzee wa Chadema Zanzibar akitowa Sera za Chama chake na kumuombea kura Mgombea wao Ndg. Hashim Issa Juma
 Meneja Kampeni wa Mgombea wa Chadema Said Juma, akimnadi mgombea wake katika viwanja vya kampeni vya kiembesamaki wakiwa katika harakazi za mikutano hiyo. 
 Katibu wa Chadema Mjini Ndg. Yussuf Khatib, akimwaga sera za Chama chake kwa Wananchi waliohudhuria Mkutano wa kampeni katika viwanja vya kiembesamaki.
 Mbunge wa Chadema kupitia Nafasi za Wanawake Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar Mhe. Abama, akimnadi mgombea wake.
 Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mjini Magharibi Bi. Rufaa Mohammed Bakari, akihutubia katika mkutano wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya kiembesamaki.
Mbunge wa Nafasi za Wanawake kupitia Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Maryam Salum Msabaha, akitowa Sera za Chama chake na kumuombea kura Mgombea wao wa Nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar, katika mkutano wa kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa Jibola Kiembesamaki

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.