Ads Top

Majina ya Uhamisho na Uteuzi wa Mawaziri na Manaibu Waziri Uliyofanywa na Rais Jakaya Kikwete Leo Hii,Mawaziri Wapya ni Pamoja na Dr Asha Rose Migiro,Juma Nkamia,Mwigulu Nchemba,Jenista Mhagama,Godfrey Zambi

  Naibu Wizara Mpya wa Fedha (Sera)Mwigulu Nchemba

 Naibu Waziri Mpya wa  kilimo na Chakula-Godfrey Zambi

 Waziri Mpya wa Katiba na Sheria Dr Asha Rose Migiro


Naibu Waziri Mpya wa wizara ya Jinsia na watoto Pindi Chana

 Naibu Waziri Mpya wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Muhagama

   Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue.akitangaza baraza la mwaziri leo Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo

 Sehemu ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Kwa Makini Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue(hayupo pichani)akitangaza baraza la mwaziri leo Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.