Kamati Kuu ya CCM imewapa ONYO Kali Freddrick Sumaye,Edward Lowassa,January Makamba,William Ngeleja,Bernard Membe,Stephen Wassira Baada ya kuthibitika kuanza kampeni za kutafuta kuteuliwa kugombea urais

Stephen Wassira

Edward Lowassa

January Makamba

Bernard Membe

William Ngeleja

Nape
Moses Nnauye Katibuwa Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na waandishi
wa habari leo mchana katika makao makuu ya CCM Lumumba ofisi ndogo ya
chama jijini Dar es salaam kuhusu maamuzi ya vikao vya chama
vilivyomalizika mjini Daodoma hivi karibuni.
No comments: