KUTOKA KAMPENI ZA CCM CHALINZE:MGOMBE UBUNGE KWA TIKETI YA CCM KATIKA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE ANAVYOPIGA KAMPENI ZA NGUVU CHALINZE

Mwenyekiti huyo wa CCM Mkoa wa Pwani, akimnadi Ridhiwani katika mkutano wa kampeni uliofanyika Visakazi katika kaya hiyo

Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze,
Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji
cha Visakazi, katika kata ya Ubena leo

Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano huo.

Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlai akimpa ushauri Ridhiwani, kabla ua
kumpa nafasi ya kuomba kura kwa wananchi wa kijiji cha Visakazi katika
kaya hiyo leo.

Ridhiwani akionyesha furaha yake

Ridhiwani akiwasalimia wapigakura alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Mwidu

Ridhiwani akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Ubena Zomozi alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni

Mzee Hemedi Ali akiongoza kutumbuiza ngoma ya kumlaki Ridhiwani katika kijiji cha Mwidu kata ya Ubena

Watoto wakijaribu kutumia simu ya mkononi kupata picha ya Ridhiwani wakati wakihutubia Kijiji cha Visakazi

Sam wa Ukweli akitumbuiza Ubena Zomozi kwenye mkutano wa kampeni wa Ridhiwani
No comments: