Wananchi wa Mbeya walijitokeza kwenye Ofisi za Jiji la Mbeya kushuhudia Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa
Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu
huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi
zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo
HATIMAYE JIJI LA MBEYA WAFANIKIWA KUMKAMATA YULE CHATU ALIYEKUWA ANATISHIA MAISHA YA WANAINCHI
Reviewed by uhurutz
on
10:15
Rating: 5
No comments: