MTU MOJA AMEPOTEZA MAISHA LEO MAENEO YA MAGOMENI MTAA WA KIZINGO NI BAADA YA KUANGUKIWA NA NGUZO YA NYAYA ZA SIMU
baadhi ya mashuhuda wakishuhudia kutokea kwa ajali hiyo
eneo la tukio
askali wakiuchukua mwili wa marehemu na kuupakia kwenye gari
hiyo ndio nguzo ilio mponda marehemu
Mtu huyo alikuwa akipita ndipo akaangukiwa na nguzo hiyo na kusababisha kupasuka maeneo ya kichwani kiasi cha ubongo kutoka na hatimae kupelekea umauti
No comments: