Ads Top

VIUNGO VYA MIILI YA BINADAMU VILIVYO YUPWA MAENEO YA BUNJU JIJINI DAR ES SALAAM

 Moja ya kichwa kinachodhaniwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo
   Baadhi ya Mifuko ambamo kunadaiwa Maiti izo zilikuwa zimewekwa
 Mmoja ya Kiungo Kinachodaiwa cha Mguu 
  Sehemu ya mifuko ya plastiki iliyokutwa na viungo hivyo ambavyo inasemekana ni pamoja na mikono, miguu, ngozi na sehemu nyingine za miili
Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina baada ya kukamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya binadamu katika  mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Jeshi la polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, limefanikiwa kukamata viungo vya binadamu vikiwa kwenye mifuko ya plastiki katika maeneo ya Bunju/Mbweni Mpiji, Magohe katika eneo ambalo ni marufu kwa uchimbaji wa kokoto nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Viungo vilivyotambulika ni pamoja na miguu na mafuvu ya vichwa vya binadamu.
Jeshi la polisi lipo eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.