MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA NA PROFESA ABDALLAH SAFARI ASHINDA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA
Sehemu
ya Wajumbe wa Mkutano mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi
baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu
Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti
Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa
Makamu
Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti
wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa furaha muda mfupi baada ya
kushinda usiku huu
Muasisi
wa Chadema Mzee Edwin Mtei akimpongeza Profesa Abadallah Safari baada
ya kushinda nafasi ya Makamu wa Mwenyekiti wa Chadema Bara.Picha na
Habari na CHADEMA
---
MATOKEO YA UCHAGUZI
---
MATOKEO YA UCHAGUZI
MWENYEKITI
Mh Freeman Mbowe amepata kura 789
Mh Ester Matiko amepata kura 20
MAKAMU BARA
Prof Abdallah Safari amepata kura 775
Hakuwa na Mpinzani
MAKAMU ZANZIBAR
Mh Said Issa Mohamed amepata kura 645
Mh Hamad Yusuph amepata kura 163
* Hatimaye Mhe Freeman Aikael Mbowe Amechaguliwa Tena kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kupata kura 789 sawa na asilimia 97.3 ya kura zote. Aliyeshinda nafasi ya Makamu mwenyekiti Bara ni Profesa Abdallah Safari kwa kupata kura 775 sawa a asillimia 95 na nafasi ya Makamu mwenyekiti Zanzibar ameshinda Mh Saidi Issa Mohamedi kwa kupata kura 645 sawa na asilimia 79.
Hatimaye Mhe Freeman Aikael Mbowe Amechaguliwa Tena kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kupata kura 789 sawa na asilimia 97.3 ya kura zote. Aliyeshinda nafasi ya Makamu mwenyekiti Bara ni Profesa Abdallah Safari kwa kupata kura 775 sawa a asillimia 95 na nafasi ya Makamu mwenyekiti Zanzibar ameshinda Mh Saidi Issa Mohamedi kwa kupata kura 645 sawa na asilimia 79.

No comments: