Ads Top

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI,FREEMAN MBOWE ALIPOJISALIMISHA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI NCHINI FIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO JANA

  Askari akiwataka wanachadema kuondoka.
  Ulinzi Mkali.
 Huyu alikuwa akikaidi amri ya Jeshi la Polisi ilibidi aondolewe kwa nguvu.
  Baadhi ya Wachama na Wafuasi wa Chadema wakishangilia wakati Mwenyekiti wao akiwasili kwenye Makao Makuu ya Jeshi la Palisi leo.
 Kamishna wa Polisi,CP Paul Chagonja akiwataka wanachama na wafuasi wa Chadema kuondoka kwenye eneo hilo kwani hakuna sababu ya kufanya fujo.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe akiwasili kwenye makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini,Mapema jana asubuhi tayari kwa kwenda kuhojiwa juu kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho hivi katibuni,kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo.


  Makamu Mwenyekiti wa Chadema,Prof. Abdallah Safari na Wakili wa Chama,Wakili Mabele Marando wakiwasili kwenye Makao Makuu wa Jeshi la Polisi mapema  jana.
  Mwenyekiti wa Chama cha DP, Christopher Mtikila akihojiwa na askari Polisi, alipowasili Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa bajaji, ambako Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alihojiwa na Polisi.
  Ulinzi mlali katika eneo hilo.
  Amri ikipita ya kuwataka wanachadema kuondoka eneo hilo.

  Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari waliokuwepo kwenye eneo la makao makuu ya Jeshi la Polisi,juu ya kile kilichokuwa kikiendelea kwenye mahojiani katika ya Mwenyekiti wa Chama hicho na Jeshi la Polisi.
Baadhi ya wanachama wa Chadema wakiondolea ndani la eneo la Makao Makuu wa Chadema

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.