Ads Top

Wajumbe wa Bunge Maalum La Katiba Walivyoserebuka Jana Wakati Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Walivyokabidhiwa Rasmi Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Mjini Dodoma

 Mbunge wa Maswa John Shibuda, akijumuika na wasanii wa ngoma ya asili kutoka Mkoa wa Shinyanga kusebeneka...
 Martha Mrata na Mageth Sita wakifurahia wakati wakiserebuka katika sherehe hizo.
 Wajumbe wakirudi jukwaani....
 Mrema akiungana na wajumbe wenzake kusherehekea.....
  Wajumbe wakiserebuka
 Wajumbe wakirudi jukwaani....
 |Serebuka....
 Kila mmoja alikuwa na furaha teleee.....
 Mrema akiungana na wajumbe wenzake kusherehekea.....
 Mbunge wa Maswa John Shibuda, akijumuika na wasanii wa ngoma ya asili kutoka Mkoa wa Shinyanga kusebeneka...
 Wasanii wa bendi ya TOT Taarab wakishambulia jukwaa.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.