Ads Top

BASI LA SIMBA MTOTO LAGONGANA NA ROLI WILAYANI KOROGWE MKOANI TANGA NAKUSABABISHA VIFO VYA WATU 11 NAKUJERUHI 29

Ajali mbaya ya barabarani imetokea mkoani Tanga asubuhi hii wakati Basi la Kampuni ya Simba Mtoto ya Tanga lilipogongana na  Roli uso kwa uso,taarifa za awali zinasema watu 11 wamekufa  na wengine 29 wamejeruhiwa katika ajali hiyo.


Kwa sasa bado tunaendelea kufuatilia tukio hilo ili kupata idadi kamili ambapo mpaka sasa taarifa za awali zinasema watu 10 ndiyo waliopoteza maisha katika ajali hiyo mbaya iliyotokea eneo la Pangamlima wilayani Korogwe mkoani humo.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.