Ads Top

WAZIRI MKUUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MAWAKALA WA FORODHA NA BANDARI

post-feature-image 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dares salaam kuzungumza wawakilishi wa Mawakala wa Forodha na Bandari  kwenye ukumbi  wa Karimjee jijini Dar es salaam Machi 21, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipekuwa baadhi ya nyaraka zinazoonyehsa jinsi wizi wa fedha za serikali  uliofanywa kwenye  bandari ya Dar es salaam  ukihusisha mabenki wakati akizungumza na  Mawakala wa Forodha na Bandari kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Machi 21, 2016.
Baadhi ya Mawakala wa Forodha na Bandari wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salam Machi 21, 2016.Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.