MAKAMU WA RAIS DK BILAL AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA UGANDA
Rais
Yoweri Museveni wa Uganda akimkaribisha, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwenye sherehe za
maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda zilizofanyika jana kwenye
Uwanja wa Kololo jijini Kampala,Uganda.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gaharib Bilal
(kulia) akibadilishana mawazo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakati
wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 yaUhuru wa Uganda. Sherehe hizo
zimefanyika jana katika Uwanja wa Kololo jijini Kampala. Wanaoonekana
nyuma yao ni wake zao, Bibi Janneth Museveni (kulia) na Mama Zakia
Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal na
mkewe Mama Zakia Bilal wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa
kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda kwenye Uwanja wa
Kololo, jijini Kampala jana. Wengine kutoka kushoto ni Rais wa Somalia
Hassan Shekhe Mahamoud na Makamu Rais wa Sudan, Bwana Haji Adam
Yusufu.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments: