Ads Top

Mgogoro wa kisiasa watokota Misri

Makabiliano kati ya waandamanaji na polisi

Watu wawili, wameuawa katika makabiliano kati ya waandamanaji, na plisi mjini Cairo.

Kwa mujibu wa maafisa wa afya, wawili hao walipigwa risasi wakiwa kando ya medani ya Tahrir.

Ripoti zinasema kuwa mwanamume mmoja alifariki katika eneo la Tahrir wakati wa pili alifariki hospitalini.

Zaidi ya watu 50 wamefariki katika makabilino katika baadhi ya miji nchini misri katika wiki moja iliyopita.

Hizi ghasia zimesemekana kuwa mbaya zaidi tangu rais Morsi kungia mamlakani.

Wakosoaji wanamtuhumu kwa kuhujumu faida za mapinduzi ra kiraia. bofya hapa kwa habarizi...>>>>

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.