Makamu wa Rais Dr Gharib Bilal Atua Arusha awafariji majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea jana asubuhi kwenye uzinduzi wa kanisa la St.Joseph maeneo ya Olasit jijini Arusha
Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi jana kwenye uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha.
Makamu
wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole
majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi jana kwenye
uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha.
Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib
Bilal Pamoja na Mh.Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa
bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi jana kwenye uzinduzi wa kanisa la
St.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha
Makamu
wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole
majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi jana kwenye
uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha.
Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la
kilutheri Tanzania (KKKT)Dkt Alex Malasusa akiwafariji wananchi baada ya
kupewa nafasi ya kuwaombea majeruhi waliolazwa katika hospital ya Mount
meru jijini arusha jana baada ya kulipukiwa na kitu kinachodhani kuwa ni bomu.Picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha
No comments: