Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Nchini, Joseph Haule aka Profesa Jay Ajiunga Rasmi na Chadema
The heavy weight MC Proj Jay, aka
Dady, Joseph Haule akipokea Kadi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka
Sugu Muda mfupi uliopita Mjini Dodoma Mara baada ya kujiunga rasmi na
Chadema
Rapper
mkongwe nchini, Joseph Haule aka Profesa Jay amejiunga rasmi na Chama
cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Profesa amekabidhiwa kadi ya
uanachama wa CHADEMA na mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu
Mbunge wa Jimbo la Ubungo-Chadema John
Mnyika(kulia)akiteta jambo na mbunge wa mbeya mjini-Chadema Joseph
Mbilinyi aka Sugu muda mfupi baada ya Rapper
mkongwe nchini, Joseph Haule aka Profesa Jay kujiunga na chadema leo
Mjini Dodoma
Muda si mrefu msanii
maarufu hapa Bongo Profesa Jay (Joseph
Haule) amejiunga na Chama Cha Demokrasi na Maendeleo huko Dodoma na
amekabidhiwa tiketi ya chama cha CHADEMA rasmi na Mbunge wa Mbeya Joseph
Mbilinyi aka Sugu huko Dodoma.
No comments: