Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya Akimfariji Msanii na Taarab na Malkia wa Mipasho Tanzania Khadija Omar Kopa Baada ya Kupata Taarifa ya Kufiwa na Mumewe Jafari Ali Yussuf Leo Jijini Dar es Salaam,Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhiminisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa
Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda
wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho
Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya
kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia
leo alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye
Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa
Namanyere Mkoani Rukwa jana.
Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya kushoto akimfariji msanii
na taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija omar Kopa
alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa
ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali
Yussuf aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija
Kopa alikua akitokea kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani
kitaifa yaliyoaadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments: