MAMA SALMA KIKWETE NA WAKE WA MARAIS WALIOKUWA KWENYE MKUTANO WA SMART PARTNERSHIP WATEMBELEA MAONYESHO
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiandamana na Mheshimiwa Inagosi Bulo
kutoka DRC (kushoto) na Inkhosikati Lambikiza wa Swaziland na Mama
Charlotte Scott wa Zambia wakiwa nje ya banda la Zanzibar mara baada ya
kutembelea banda hilo.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Maendeleo
Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali za aina ya shanga
zilizokuwa zikionyeshwa kwenye banda la SIDO wakati walipotembelea
maonesho hayo tarehe 30.6.2013.

wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Waziri Inagosi Bulo kutoka DRC
(kushoto) na Inkhosikati Lambikiza wa Swaziland (kulia) wakiangalia
bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa kutoka kwenye mnazi kama zilivyokuwa
zikionyeshwa na akina mama kwenye banda la WIPE.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akiongea na waandishi wa habari mara tu baada ya kumaliza ziara yake na
ugeni aliouongoza kutembelea mabanda mbalimbali ya maonesho tarehe
30.6.2013.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Maendeleo
Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali za aina ya shanga
zilizokuwa zikionyeshwa kwenye banda la SIDO wakati walipotembelea
maonesho hayo tarehe 30.6.2013.
Mwenyekiti
wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na Mke wa Makamu wa
Rais wa Zambia Mama Charlotte Scott ambaye aliondoka uwanjani hapo
kwenda uwanja wa ndege kuungana na mume wake kwa ajili ya safari ya
kurudi nchini Zambia.
No comments: