Ads Top

KUTOKA CHADEMA:MABARAZA HURU YA CHADEMA, RASIMU YA KATIBA, TIMU YA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE NA MBUNGE WA SINGIDA MASHARIKI TUNDU LISSU

Maelfu ya wanachama wa chadema Kasulu wakishangilia kwenye mkutano wa mabaraza ya chadema
 Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akiunguruma mbele ya mamia ya wanachama wa Chadema nguruka
 Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akihutubia mamia ya wananchama wa Chadema Nzega
 Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu akihutubia mamia ya wanachama wa chadema
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe,akiwa na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kuwasili Tabora huku wakisindikizwa na mamia ya wanachama wa chadema
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe,akiwa na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kuwasili Nzega huku wakisindikizwa na mamia ya wanachama wa chadema.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.