Ads Top

HATIMAE RAIS WA RWANDA NA RAISI WA TANZANIA WAKUTANA MJINI KAMPALA NCHINI UGANDA KWA MAZUNGUMZO

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutana faragha sambamba na mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu uliofanyika katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala,Uganda.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutaba na kufanya mazungumzo ya faragha, katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala, Ugand

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.