Ads Top

WAZIRI WA UJENZI DKT.JOHN MAGUFULI AFUNGUWA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI 2013 JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akizindua rasmi kiapo cha utii kwa Wahandisi Wataalamu leo jijini Dar es Salaam kilichofanyika katika hafla ya maadhimisho ya Siku  ya Wahandisi 2013. Picha kushoto ni Msajili wa  Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini Mhandisi Steven Mlote, (katikati) ni Hakimu Mkazi wa  Mahakama ya Kisutu Wariyaruandwe Lema.
 Baadhi ya wahandisi wakila kiapo cha utii leo jijini Dar es Salaam.
 Hakimu Mkazi wa Mahakama ya  Kisutu Wariyaruandwe Lema(kulia) akiwaapisha Wahandisi mbalimbali kutoka  taasisi na mashirika ya kihandisi,leo jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya wahandisi 2013 leo jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akimkabidhi  cheti pamoja na luptop Anna Msigwa mmoja ya mhandisi mhitimu aliefanya vizuri zaidi katika mtihani  wa mwisho wa mwaka 2012/ 2013,  (Pichani  mwenye kipaza sauti) Ni Msajili wa Bodi ya Wasajili Mhandisis Steven Mlote.
Baadhi ya Wahandisi waliohudhuria hafla ya maadhimisho ya siku ya Wahandisi 2013 leo jijini Dar es Salaam  wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (hayupo pichani)

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.