Basi la Abiria Lagongana Uso Kwa Uso na Lori Eneo la Kabuku Mkoani Pwani
Askari wa usalama barabarani wakiwa katika eneo la tukio.
Baadhi
ya watu wakishuhudia ajali iliyoyakutanisha malori mawili pamoja na
basi la abiria lenye namba za usajili T 158 BXG, iliyotokea jana katika
eneo la Kabuku, mkoani Tanga.
Lori
la Mizigo likiwa limeacha njia jana, baada ya kugongana na basi katika
eneo la Kabuku mkoani Tanga na kuyahusisha magari matatu katika ajali
hiyo
No comments: