Vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi vimeahirisha maandamano ambayo yalitakiwa kufanyika Leo nchi Nzima baada ya Rais Kikwete kusema yuko tayari kufanya nao mazungumzo kujadili suala hilo.

Mwenyekiti
wa chama cha CUF Prof Ibrahimu Lipumba,akitoa tamko la umoja wa vyama
vya upinzani la kusitisha maandamano ya nchi nzima yaliyopangwa
kufanyika mwezi huu,ambapo wana mpango wa kwenda Ikulu kujadiliana na
Rais Jakaya Kikwete mambo yanayohusu mchakato wa Katiba mpya,kushoto ni
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi James
Mbatia(kulia)
No comments: