Ads Top

Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Amtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano (Daraja la Kwanza) Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba IKULU Jijini Dar es Salaam

Rais Kikwete akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano (Daraja la Kwanza) Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano,Ikulu jijini Dar es Salaam.Picha na -IKUL

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.