Mwili wa Mama Yake Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe Wasafirishwa Kwenda Kigoma


Ndege Ikiandaliwa Ili kuweza Kuingiza Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe

Waheshimiwa
Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa
Marehemu Mama Yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum kuingiza kwenye ndege
Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye mazishi

Prof Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na Mwezie baada ya kupakia mwili wa marehemu kwenye ndege kuelekea kigoma Kwenye maziko

Rais wa TASWA Juma Pinto akiwa VIP ya Terminal 1 JKN Airport
alipokutana na Cardinal Pengo wakati wa kuaga mwili wa Mama yake Zitto Kabwe
No comments: