ALIYEKUA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA -TBS CHARLES HEKELEGE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA
Charles Ekelege akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es
Salaam leo ambapo alihukumiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja baada ya
kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kulipa faini ya
sh.milioni 68.
Ekelege akiteta jambo na kijana aliyedaiwa kuwa ni mtoto wake.
Ekelege akiteta jambo na familia yake akiwa Mahakamani hapo.
Hapa Ekelege akiwa amekaa nje ya Mahakama hiyo na familia
yake kabla ya kuhukumiwa.
Askari polisi akiwa na familia ya Ekelege (wa pili kulia), wakati
akitoka kwenye mahakama hiyo.www.habariza jamii.com
Aaliye
kuwa Mkurugenzi wa Shirika la viwango Tanzania TBS Bw Charles Hekelege,
ametiwa hatiani na kufungwa miaka mitatu jela baada ya kukutwa na kosa
la kuhujumu uchumi. Hekelege amefungwa jumla ya miaka mitatu jela kwa
makosa matatu kila kosa moja mwaka mmoja kwa maana hiyo atatumikia mwaka
moja gerezani.Habari Zaidi Baadae
No comments: