Ads Top

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akiwa na Wajumbe Mbalimbali wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Ally Juma Othman Ally kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014
  Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pida na Anne Kilango Malecala wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014.
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ,Mohamed Raza  (kushoto) na Ally Juma Othman Ally (katikati) wakizungumza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Meya wa Songea, Charles Mhagama,kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014. Katikati ni Mbunge wa Songea mjini ,Dr. Emmanuel Nchimbi.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.