MKUU WA MAJESHI TANZANIA JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AFUNGUA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO ZANZIBAR.
Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akipokea saluti mara baada ya
kuwasili kwenye ufunguzi wa kiwanja kipya cha Michezo kilichopo Makao
Makuu ya Brigedi ya Nyuki Migombani.
Jenerali Davis
Mwamunyange akifungua kiwanja kipya cha Michezo kitakachotumika kwa
ajili ya michezo ya Majeshi ya Shirikisho la Jumuia ya Afrika Mashariki,
kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi na kushoto ni
Mkuu wa Brigedi ya Nyuki, Brigedia Jenerali Sharif Sheikh Othman.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange
akizungumza na wanahabari mara baada ya ufunguzi wa kiwanja hicho
Migombani Zanzibar jana Agosti 19
Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akimpongeza Mkandalasi wa
kiwanja hicho kutoka Kampuni ya M. S Maya Heardwere ya Zanzibar Bw.
Abdallah M. Salim.
No comments: