Ads Top

Picha Kutoka Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiteta jambo na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru wakati wa Bunge Maalum la Katiba jana  Mjini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe toka Kamati mbalimbali wakiendelea kuwasilisha taarifa za Kamati zao katika Bunge Maalum la Katiba jana  Bungeni Mjini Dodoma

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.