TANZANIA NA KENYA ZIMEZINDUA HUDUMA YA KITUO CHA PAMOJA MPAKANI

Kituo cha mpakani chafunguliwa

Kituo cha mpakani
Waziri Kandie amesema kuweka huduma za Mpaka wa Nchi mbili katika eneo moja kutakuza uchumi wa nchi zote mbili kwa haraka.
Balozi Mahiga wa Tanzania amesema hii ni moja ya hatua mojawapo za kuelekea katika matumizi ya sarafu moja.
Mfano wa faida za mradi kama huu ni unaona itapunguza takribani 400
(barabara ikikamilika kutoka Mombasa kwenda Burundi) japo Gharama ni
kufikia milioni 12 dola za kimarekani lakini Afrika Mashariki
tutafaidika" Ameongeza Katibu Mkuu wa Mtangamano wa Afrika Mashariki
Richard Sezibera aliyekuwepo kushuhudia ufunguzi huu.
Mradi huu ambao umechangiwa na Nchi wahisani pamoja na Kenya na Tanzania umesimamiwa na Trade Mark East Africa.
No comments: