WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASEMA SERIKALI INAENDELEA KUPAMBANA NA RUSHWA NA UFISADI.

Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo ya maadili kwa mawaziri na
manaibu waziri Mhe.Majaliwa amesema vitendo vya rushwa na ufisadi
vinatia hasara serikali ya mamilioni ya fedha ambazo zingeweza kutumika
kwaajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo kwa ajili ya wananchi na
kusisitiza tatizo hilo linaweza kupungua iwapo viongoziwatazingatia
sheria ya maadili kwa ujumla.
No comments: