Ads Top

WAZIRI WA KILIMO, UVUVI NA MIFUGO, MWIGULU NCHEMBA AMETEMBELEA KIJIJI CHA KIGURUKWA MJINI MOROGORO KULIKOTOKEA MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA MBUZI


Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Mwigulu Nchemba ametembelea Kijiji cha Kigurukwa mjini Morogoro kulikotokea mapigano ya Wakulima na Wafugaji yaliyosababisha kuuawa kwa mbuzi 75.

Waziri Mwigulu ameagiza Kamati ya Ulinzi ya Mkoa kuhakikisha wote waliohusika katikla tukio hilo wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria. 

Pia ameagiza kutekelezwa haraka hukumu ya mahakama iliyotolewa mwaka 2005 iliyoagiza kuwekwa kwa mipaka kati ya eneo la wafugaji na wakulima

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.